#HABARI: Watumiaji wa barabara ya Bagamoyo wamejikuta katika wakati mgumu baada ya kukaa kwenye foleni kwa muda mrefu, kufuatia malori mawili kugongana uso kwa uso maeneo ya Bunju Sokoni Kata ya Mabwepande Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar Es Salaam.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania