#HABARI: Watu wasiojulikana wanatuhumiwa kuhusika na kifo cha mmoja wa kiongozi wa dini maarufu huko Zanzibar, Sheikh Jabir Haidar Jabir, ambaye mwili wake ulikutwa katika eneo la Kizimbani mbali kidogo na mji wa Zanzibar.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mjini Magharibi Richard Mchomvu, amethibitisha kifo cha kiongozi huyo wa dini Sheikh Jabir.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania