#HABARI: Watu tisa wamefariki dunia papo hapo, huku wengine 44 wakijeruhiwa na kupelekwa katika Hosptali ya Rufaa Mkoa wa Morogo…

#HABARI: Watu tisa wamefariki dunia papo hapo, huku wengine 44 wakijeruhiwa na kupelekwa katika Hosptali ya Rufaa Mkoa wa Morogo…

#HABARI: Watu tisa wamefariki dunia papo hapo, huku wengine 44 wakijeruhiwa na kupelekwa katika Hosptali ya Rufaa Mkoa wa Morogoro, katika ajali iliyohusisha Basi la Higer lenye namba za usajili T 523 EKM na Lori aina ya Scania lenye namba T 406 CZS na Tela namba 804 BUB, mara baada ya kugongana katika barabara ya Morogoro – Iringa, eneo la Kata ya Melela Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, ameelezea namna ajali hiyo ilivyotokea, iliyohusisha magari hayo, ambapo Lori hilo lilisheheni mzigo wa mifuko ya Sukari, huku Afisa Uhusiano Hospital ya Rufaa Mkoa wa Morogoro Bi. Schola Ndunga akieleza walivyopokea majeruhi hao.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *