#HABARI: Watanzania wameombwa kudumisha amani kipindi hiki cha kuelekea katika Uchaguzi Mkuu, Oktoba, 2025

#HABARI: Watanzania wameombwa kudumisha amani kipindi hiki cha kuelekea katika Uchaguzi Mkuu, Oktoba, 2025.

Hayo yamebainishwa na Mwakilishi wa Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubakari Zuberi, Mjumbe wa Baraza la Ulamaa BAKWATA Taifa, Shekh Masoud Hamidi Jongo, katika dua maalum ya kumuombea Sheikh Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Marehemu Hassan Dahir Ally, ambaye alifariki Tarehe 13.4.2025, jijini Dar es Salaam.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *