#HABARI: Wakuu wa Majeshi ya Polisi kutoka nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kupitia Shirikisho la Wakuu wa Polisi wa Nchi Wanachama zilizopo Kusini mwa Afrika (SARPCCO) wanatarajia kukutana Jijini Dar es Salaam kuanzia Juni 2 hadi 6, 2025 katika Mkutano Mkuu wa Mwaka (SARPCCO – AGM) ambao utakuwa na lengo la kujadili na kuweka mikakati itakayosaidia kubaini, kuzuia na kutanzua uhalifu unaovuka mipaka.
#HABARI: Wakuu wa Majeshi ya Polisi kutoka nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kupitia Shirikisho la Wakuu wa …
