#HABARI: Wakulima waliopata elimu ya kilimo bora katika Kijiji cha Isuna B, katika Kata ya Isuna, wilayani Ikungi, mkoani Singi…

#HABARI: Wakulima waliopata elimu ya kilimo bora katika Kijiji cha Isuna B, katika Kata ya Isuna, wilayani Ikungi, mkoani Singida, licha ya mvua kutokunyesha kwa miezi miwili mfululizo wameweza kustawisha mazao yao ya Alizeti na Mahindi, kufuatia kupatia elimu ya kilimo bora chenye kuhimili hali ya hewa zinazobadilika badilika na kutumia virekebisho vya hali ya udongo aina ya Biochar.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *