#HABARI: Wakulima wa kilimo mseto kutoka mikoa ya Mara, Kagera na Dodoma, wameiomba serikali itoe mwongozo wa biashara ya hewa y…

#HABARI: Wakulima wa kilimo mseto kutoka mikoa ya Mara, Kagera na Dodoma, wameiomba serikali itoe mwongozo wa biashara ya hewa y…

#HABARI: Wakulima wa kilimo mseto kutoka mikoa ya Mara, Kagera na Dodoma, wameiomba serikali itoe mwongozo wa biashara ya hewa ya kaboni kwa wakulima wenye mashamba yenye miti, yanayofanya kilimo kinachohifadhi mazingira ili waweze kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi na kunufaika kiuchumi kupitia biashara hewa ya ukaa.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *