#HABARI: Wakazi wa Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mradi wa maji unaolenga kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi mkoani hapo.
Mradi huo utawekwa jiwe la Msingi na Rais Mhe. Dkt. Samia Juni 19, 2025.
#Follow @radioonetanzania
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.