#HABARI: Wakazi wa mkoa wa Mtwara wakiwemo wanafunzi wa kike, wameiomba serikali kuondoa kodi kwenye taulo za kike, ili kuziepus…

#HABARI: Wakazi wa mkoa wa Mtwara wakiwemo wanafunzi wa kike, wameiomba serikali kuondoa kodi kwenye taulo za kike, ili kuziepus…

#HABARI: Wakazi wa mkoa wa Mtwara wakiwemo wanafunzi wa kike, wameiomba serikali kuondoa kodi kwenye taulo za kike, ili kuziepusha familia masikini kutumia taulo hatarishi ikiwemo vipande vya magodoro kujisitiri wakati wa hedhi.

Wamesema wanawake na wasichana wanaotoka katika familia masikini wamekuwa wakitumia taulo hatarishi, kutokana na hali ngumu ya maisha na hivyo kuiomba serikali kuondoa ama kupunguza kodi katika taulo hizo.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *