#HABARI: Wakati kukiwa na shinikizo kwa Serikali ya Kenya kukomesha utekaji nyara na mauaji ya kiholela ya Wakenya, wanaume wawili wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya kasisi wa Kanisa Katoliki majuma mawili yaliyopita eneo la TOT Kaunti ya Elgeiyo Marakwet, wamepatikana wakiwa wameuawa baada ya kukamatwa na watu wanaoaminika kuwa Polisi.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania