#HABARI: Wagonjwa waliotibiwa na madaktari Bingwa na Bingwa Bobezi wa Dk

#HABARI: Wagonjwa waliotibiwa na madaktari Bingwa na Bingwa Bobezi wa Dk. Samia, katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida, wameomba huduma hizo za kibingwa ziwe zina wafikia wananchi hadi vijijini, kwani ujio wa madaktari hao licha ya kupunguza gharama kwa wagonjwa kufuata huduma hizo kwenye hospitali za kitaifa, lakini pia wameokowa maisha ya wagonjwa walioshindwa kupata huduma za kibingwa.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *