#HABARI: Wafungwa wanne akiwemo askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Mt 140105 Clinton Damas maarufu Nyundo…

#HABARI: Wafungwa wanne akiwemo askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Mt 140105 Clinton Damas maarufu Nyundo…

#HABARI: Wafungwa wanne akiwemo askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Mt 140105 Clinton Damas maarufu Nyundo, askari Magereza c.1693 Praygod Mushi, Nickson Jackson ‘Machuche’ na Amin Lema anayejulikana pia kwa jina la Kindamba wamekata rufaa ya kupinga adhabu ya kifungo cha maisha gerezani walichohukumiwa Septemba 30, 2024 baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka kwa kikundi na kumwingilia kinyume na maumbile binti mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam.

Shauri hilo linaendelea kusikilizwa leo Jumanne Juni 3, katika Mahakama Kuu kituo Jumuishi cha Utoaji Haki jijini Dodoma mbele ya Jaji Amir Mruma.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *