#HABARI: Wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wamedai kuwa wataendelea kuandamana kwenda Ofisini kwa Mkuu wa …

#HABARI: Wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wamedai kuwa wataendelea kuandamana kwenda Ofisini kwa Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Mbeya kwa lengo la kumpa ushahidi wa watu wanaodai ni askari wamehusika na tukio la kumteka na kumjeruhi Mpalukwa Nyagali, maarufu Mdude na kuwataka wamrudishe.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *