#HABARI: Wadau wa Sekta ya Uhifadhi na Utalii pamoja na wawakilishi wa wananchi nchini, wameipongeza serikali kwa kuzirejeshea t…

#HABARI: Wadau wa Sekta ya Uhifadhi na Utalii pamoja na wawakilishi wa wananchi nchini, wameipongeza serikali kwa kuzirejeshea t…

#HABARI: Wadau wa Sekta ya Uhifadhi na Utalii pamoja na wawakilishi wa wananchi nchini, wameipongeza serikali kwa kuzirejeshea taasisi mbili zenye dhamana za Uhifadhi na Utalii ambazo ni Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) na eneo la Hifadhi la Ngorongoro (NCAA) katika utaratibu wa kuhodhi sehemu ya mapato yake kwa shughuli zake za kila siku.

Wadau hao wautalii na wawakilishi wananchi wametoa kauli hiyo jijini Dodoma mara baada ya uwasilishwaji wa makadirio ya Bajeti Kuu Bungeni, ambapo wamesema kwa miaka ya karibuni taasisi hizo zimekuwa zikiwasilisha mapato yote mfuko mkuu wa serikali kwa kuomba kiasi cha fedha hazina ili kuendesha shughuli zake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *