#HABARI: “Ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Uhuru kitaufanya Mkoa wa Tabora kuwa chanzo cha umeme cha Mikoa ya Katavi na Kigoma, mwisho wa mwezi huu wa tano Mkoa wa Katavi tunauunganisha na gridi ya Taifa.” Mhe. Dkt. Doto Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati wakati akikagua kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Uhuru- Tabora.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania