#HABARI: “…Tulipata changamoto kidogo kwenye pitch, tumeleta wataalamu wamerekebisha pitch, pitch iko tayari kwa mashindano tutaitumia kwa ajili ya CHAN, baada ya CHAN, tutafanya marekebisho makubwa ya pitch ya uwanja wa Benjamin Mkapa……” Msemaji Mkuu wa Serikali, Greson Msingwa.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania