#HABARI: Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Simiyu imepokea malalamiko ya baadhi ya wananchi mkoani Simiyu kutozwa…

#HABARI: Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Simiyu imepokea malalamiko ya baadhi ya wananchi mkoani Simiyu kutozwa…

#HABARI: Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Simiyu imepokea malalamiko ya baadhi ya wananchi mkoani Simiyu kutozwa fedha za kadi ya kliniki za wamama wajawazito ambazo haziuzwi pindi wanapokwenda kupata huduma za afya kwenye vituo vya afya na zahanati zilizopo kwenye maeneo yao huku ikiwataka wakuu wa idara za afya kudhibiti kero hiyo kwa kuweka matangazo mahususi kuweka uwazi.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *