#HABARI: Siku moja mara baada ya vyama 14 vya siasa nchini kutangaza rasmi kuunda umoja wao kuwa vitashiriki uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025, Chama cha Wananchi CUF kimetangaza kutoungana na chama chochote cha siasa kusimamisha mgombea mmoja katika nafasi yoyote ya uongozi.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania5