#HABARI: Siku moja baada ya watu 28 kufariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa katika ajali iliyotokea kwenye mtelemko wa mlima I…

#HABARI: Siku moja baada ya watu 28 kufariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa katika ajali iliyotokea kwenye mtelemko wa mlima I…

#HABARI: Siku moja baada ya watu 28 kufariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa katika ajali iliyotokea kwenye mtelemko wa mlima Iwambi mkoani Mbeya, baadhi ya wananchi wameiomba Serikali kutekeleza ahadi yake ya muda mrefu ya kujenga barabara ya mchepuko kuanzia mlima Nyoka hadi Ifisi ambayo itatenganisha malori na magari madogo ikiwa ni sehemu ya suluhisho la kudumu la ajali za mara kwa mara zinazotokea kwenye maeneo yenye miteremko mikali mkoani Mbeya.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *