#HABARI: Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema liko tayari kuanza usafirishaji wa mizigo kati ya Dsm na Dodoma, kufuatia kukam…

#HABARI: Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema liko tayari kuanza usafirishaji wa mizigo kati ya Dsm na Dodoma, kufuatia kukam…

#HABARI: Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema liko tayari kuanza usafirishaji wa mizigo kati ya Dsm na Dodoma, kufuatia kukamilika kwa majaribio yote husika na kupatiwa ithibati na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA).

Enock Mgonja, meneja matengenezo ya mabehewa ya abiria na mizigo TRC, amebainisha hayo Juni 02, 2025 Ihumwa Dodoma, muda mchache kabla ya treni ya mizigo kurejea Dar es Salaam, ikiwa ni siku ya pili ya majaribio kufuatia ile ya Juni 01, 2025 kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *