#HABARI: Rais William Ruto ameshambuliwa na kiatu kwenye mkutano wa hadhara katika eneo la Kehancha Kaunti ya Migori. Haijajulikana iwapo mtu yeyote amekamatwa kufuatia tukio hilo.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania
Habari na burudani