#HABARI: Rais William Ruto amesema hatayumbishwa na kile anachokitaja kuwa kelele za wapinzani wake, katika kuyafikia aliyowaahidi Wakenya wakati wa kampeni za mwaka wa 2022, wakati kwa upande wa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua anaendelea kuituhumu Serikali kwa kusababisha vifo vya vijana waliofanya maandamano nchini humo Gen z.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania