#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta taratibu bendera ikiwa ni ishara ya kuzindua rasmi kiwanda cha kuchakata Pamba na kutengeneza mabomba ya maji mkoani Simiyu.
#Follow @radioonetanzania
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.