#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan, ametangaza kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya, kilichotokea leo tarehe 07 Mei, 2025 katika Hospitali ya Mzena jijini Dar es Salaam.
Rais Samia ametangaza Siku 7 za maombolezo kitaifa huku bendera zikipepea Nusu mlingoti.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania