#HABARI: Polisi na Maafasi Upelelezi wa Makosa ya Jinai Nakuru, nchini Kenya, wamewakamata washukiwa 7 wa ujambazi akiwemo raia …

#HABARI: Polisi na Maafasi Upelelezi wa Makosa ya Jinai Nakuru, nchini Kenya, wamewakamata washukiwa 7 wa ujambazi akiwemo raia …

#HABARI: Polisi na Maafasi Upelelezi wa Makosa ya Jinai Nakuru, nchini Kenya, wamewakamata washukiwa 7 wa ujambazi akiwemo raia wa Tanzania, ambao wamekuwa wakiwahangaisha wafanyabishara katika kaunti hiyo. Aidha katika ufyatulianaji risasi uliosababisha kukamatwa kwao, Afisa mmoja wa Polisi alifariki huku wawili wakijeruhiwa.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *