#HABARI: “Pili nilianza kufanya naye kazi mwaka 1994…wakati huo akiwa mdogo sana na Pili alikuwa mtu wa kujiongeza, kwa sababu a…

#HABARI: “Pili nilianza kufanya naye kazi mwaka 1994…wakati huo akiwa mdogo sana na Pili alikuwa mtu wa kujiongeza, kwa sababu alipokuja ITV Pili alikuwa hajui graphics lakini alikuwa na interest ya kujifunza graphics kwa hiyo tukampa nafasi pamoja na kazi aliyokuwa akifanya kwamba ajifunze graphics kwa muda wake yeye. Pili alijifunza graphics tukampeleka chuoni, akafaulu. Pili alikuja kuwa mwalimu wa watangazaji wa habari wote ITV…”- Mkurugenzi Mtendaji wa ITV/Radio One, Joyce Mhaville akizungumza wakati wa kuaga mwili wa marehemu Pili Saidi Ally katika Hospitali ya Lugalo jijini Dar, Mei 6, 2025.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *