#HABARI: Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewahimiza maafisa maendeo ya jamii nchini kushirikiana na kuhakikisha wanashirikishwa katika mipango ya nchi kuanzia ngazi za halmashauri na kuwezesha jamii kujiletea maendeleo endelevu na jumuishi kwa maslahi mapana ya Taifa.
Dkt. Biteko amesema hayo jijini Dodoma wakati aliposhiriki kwenye Kongamano na Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Wataalam wa Maendeleo ya Jamii Tanzania.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania