#HABARI: Mwenyekiti ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameomba mahakamani ajitetee mwenyewe ambapo ametaja sababu ni kuwa mawakili wake kutopewa nafasi ya faragha kuzungumza naye gerezani.
Lissu amebainisha hayo leo Jumatatu Juni 16, 2025 wakati kesi yake ikianza kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Lissu anakabiliwa na kesi ya uhaini pamoja na kesi kesi ya kuchapisha taarifa za uwongo mtandaoni.
#Follow @radioonetanzania
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.