#HABARI: Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk

#HABARI: Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk

#HABARI: Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, ameongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Kilichofanyika leo jijini Dodoma.

Dk. Samia ameongoza kikao hicho leo Mei 28, 2025 katika Ukumbi wa NEC uliopo Makao Makuu ya CCM (Whitehouse) jijini Dodoma.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *