#HABARI: Mwanafunzi wa mwaka wa tatu Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), aliyejulikana kwa jina la Flavian Musiba Chamuriho (22), anay…

#HABARI: Mwanafunzi wa mwaka wa tatu Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), aliyejulikana kwa jina la Flavian Musiba Chamuriho (22), anayedaiwa kuuawa kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali kichwani na mwanafunzi mwenzake, amefariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma General huku chanzo cha tukio hilo kikiwa bado hajajulikana.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *