#HABARI: Mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Tanga zimekata mawasiliano ya barabara kutoka Kata za Shume na Manolo kwenda makao M…

#HABARI: Mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Tanga zimekata mawasiliano ya barabara kutoka Kata za Shume na Manolo kwenda makao Makuu ya Wilaya ya Lushoto na kusababisha magari ya abiria kushindwa kufika katika maeneo hayo na badala yake abiria wanalazimika kutumia usafiri wa pikipiki na wasiokuwa na uwezo kutembea mwendo kwa miguu.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow RadioOneStereo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *