#HABARI: Mtoto wa kike (13) ambaye ni mwanafunzi wa shule ya msingi Ayatsea katika Kijiji cha Gidamara wilayani Babati mkoani …

#HABARI: Mtoto wa kike (13) ambaye ni mwanafunzi wa shule ya msingi Ayatsea katika Kijiji cha Gidamara wilayani Babati mkoani Manyara, anadaiwa kubakwa na baadaye kuuawa kikatili, kwa kuvunjwa shingo na kuchomwa na kitu chenye ncha kali kwenye macho yake na sehemu za siri kisha kutelekezwa pembezoni mwa shamba.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *