#HABARI: Mmoja wa mashahidi upande wa Jamhuri akijieleza Mahakamani katika kesi ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni inayomk…

#HABARI: Mmoja wa mashahidi upande wa Jamhuri akijieleza Mahakamani katika kesi ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni inayomk…

#HABARI: Mmoja wa mashahidi upande wa Jamhuri akijieleza Mahakamani katika kesi ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa, Tundu Lissu inayosikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo Juni 16, 2025.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *