#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Bw

#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Bw

#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Bw. Jaffar Haniu, amesema kuna baadhi ya wananchi wanaowasaidia raia wa kigeni ndani ya wilaya hiyo kupata vitambulisho wa taifa, nakuonya kuwa atakayebainika atachukuliwa hatua za kali kwa kuwa ni kinyume cha sheria za nchi.

Bw. Haniu ameyasema hayo baada ya wakazi wa Kijiji cha Mbambo, kilichopo Kata ya Kambasegela, katika Halmashauri ya Busokelo, wilayani Rungwe kulalamikia upatikanaji wa vitambulisho vya taifa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *