#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paulo Chacha amegawa mitaji fedha zaidi ya shilingi Milioni 5 kwa Mama lishe waliowahi kumpikia …

#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paulo Chacha amegawa mitaji fedha zaidi ya shilingi Milioni 5 kwa Mama lishe waliowahi kumpikia …

#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paulo Chacha amegawa mitaji fedha zaidi ya shilingi Milioni 5 kwa Mama lishe waliowahi kumpikia chakula wilayani Kaliua wakati akiwa Mkuu wa Wilaya hiyo, ambapo miongoni mwa fedha hizo pia zimekwenda kwa watu wenye mahitaji maalumu.

Akiendelea na zoezi hilo mbele ya wakazi wa Kata ya Milambo wilayani hapo, Chacha amesema anarudisha fadhila kwa watu wa Kaliua kwani aliishi nao vizuri wakati akiwa Mkuu wa wilaya hiyo.

#Follow @radioonetanzania
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *