#HABARI: Mkoa wa Singida umefanikiwa, ukiongeza ziada ya uzalishaji wa mazao ya biashara kutoka tani 337 kwa mwaka 2021/2022 had…

#HABARI: Mkoa wa Singida umefanikiwa, ukiongeza ziada ya uzalishaji wa mazao ya biashara kutoka tani 337 kwa mwaka 2021/2022 had…

#HABARI: Mkoa wa Singida umefanikiwa, ukiongeza ziada ya uzalishaji wa mazao ya biashara kutoka tani 337 kwa mwaka 2021/2022 hadi kufikia tani 442 mwaka 2023/2024, ambayo ni sawa na ongezeko la ziada ya tani 105, hatua ambayo itapelekea ushirika mkoani humo kuimarika kutokana na wakulima kufuata kanuni bora za kilimo na kupata ziada kwenye mavuno.

Hayo yamebainishwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida, Dkt. Fatuma Mganga, kwenye uzinduzi wa Jukwaa la Maendeleo ya Vyama vya Ushirika mkoani humo na kuwataka wanaushirika kutumia vizuri ongezeko hilo kukuza ushirika.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *