#HABARI: Mizinga ya heshima imepigwa leo Tarehe 08 Mei, 2025 wakati wa Mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mh.Daniel Chapo, ambaye yuko nchini kwa ziara ya siku tatu kufuatia mualiko kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania