#HABARI: Mawasiliano ya Barabara Kuu Kati ya Ifakara na Malinyi, yamekatika kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na kusaba…

#HABARI: Mawasiliano ya Barabara Kuu Kati ya Ifakara na Malinyi, yamekatika kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na kusababisha maji kulisomba Karavati katika barabara hiyo eneo la Kijiji cha Namuhanga Kata ya Iragua wilayani Ulanga, maarufu kama stendi ya nyanya na kusababisha adha kubwa kwa wasafiri, watumia barabara hiyo na wakazi wa eneo hilo.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow RadioOneStereo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *