#HABARI: Mawakili wa upande wa utetezi wakipangua hoja ya mawakili wa upande wa Serikali mara baada ya kesi ya uhaini kuanza kus…

#HABARI: Mawakili wa upande wa utetezi wakipangua hoja ya mawakili wa upande wa Serikali mara baada ya kesi ya uhaini kuanza kus…

#HABARI: Mawakili wa upande wa utetezi wakipangua hoja ya mawakili wa upande wa Serikali mara baada ya kesi ya uhaini kuanza kusikilizwa leo Juni 2, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na upande wa Jamhuri, kuomba kuahirishwa kwa kesi hiyo kwa kuwa upelelezi bado haujakamilika.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *