#HABARI: Madereva bajaji mkoani Manyara, wanaounga mkono wawekezaji wazawa mkoani humo wamepatiwa zawadi na Kampuni ya Mati Super Brands Limited yenye makao yake makuu mini Babati.
Akikabidhi zawadi hizo Meneja Chapa wa Kampuni ya Mati Super Brands Limited Izack Piganio amesema wataendelea kutoa zawadi za fedha taslimu kwa madereva wa bajaji wanaounga mkono, wawekezaji wa ndani hususan kampuni hiyo kwa kubandika picha za bidhaa za kampuni hiyo kwenye bajaji zao.
#Follow @radioonetanzania
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.