#HABARI: Maafisa usafirishaji maarufu (Bodaboda) kutoka Manispaa ya Tabora mkoani Tabora, wamelalamikia vitendo vya kukamatwa kamatwa na kutozwa fedha hadi kiasi cha shilingi Elfu ishirini bila ya kupewa risiti na watu wanaovaa nguo za kiraia wakijifanya ni askari, ambao wanawavamia maafisa hao wanapokuwa wanawashusha abiria maeneo ya kituo kikuu cha mabasi yanayokwenda mikoani cha tabora majira ya alfajiri na kuwafanyia vitendo hivyo bila kuwaeleza makosa yao.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania