#HABARI: Kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Dkt

#HABARI: Kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Dkt. Biteko amewataka wananchi wa Tabora kutogawanyika kwa sababu yoyote ile huku akiwahimiza kumuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na juhudi zake za kuwaletea wanachi maendeleo.

“Katika uchaguzi Mkuu ujao tusikubali kugawanywa wala kudanganywa kwa misingi yoyote ile, tukitanguliza tofauti zetu, matokeo yake yataishi kwa kipindi kifupi na madhara yake yatakuwa ya muda mrefu,” amesema Dkt. Biteko.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *