#HABARI: Kanisa Katoliki duniani limemtangaza Robert Prevost mwenye umri wa miaka 69, kuwa Papa mpya baada ya mchakato wa upigaji kura kukamilika.
Robert Francis Prevost anatokea nchini Marekani.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania