#HABARI: Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania, imetenga zaidi ya bilioni tatu kwa ajili ya kuimarisha sekta ya elimu nchini, kwenye maneno mbalimbali ikiwemo eneo la Tehama na motisha kwa walimu, ili kuboresha miundombinu ya elimu na kuongeza kiwango cha ufaulu.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania