#HABARI: Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, kutoka Wizara ya Nishati, Mhandisi Innocent Luoga, amefanya ziara ya kukagua ute…

#HABARI: Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, kutoka Wizara ya Nishati, Mhandisi Innocent Luoga, amefanya ziara ya kukagua ute…

#HABARI: Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, kutoka Wizara ya Nishati, Mhandisi Innocent Luoga, amefanya ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya umeme ya Gridi Imara inayoendelea katika Jiji la Dar es Salaam, na kutoa maelekezo muhimu kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) pamoja na wakandarasi wanaotekeleza miradi hiyo.

Miradi hiyo inalenga kuimarisha upatikanaji wa umeme kwa kuboresha miundombinu ya usafirishaji na usambazaji wa umeme nchini, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa Serikali wa kuhakikisha huduma bora na ya uhakika kwa wananchi.

#Follow @radioonetanzania

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *