#HABARI: Jeshi la Zimamoto na Uokoaji katika Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa, limefanya mazoezi ya utayari, katika Soko Kuu la Sabasaba, kama sehemu ya kutoa tahadhari ya majanga ya moto kwa wananchi na wafanyabiashara wanaozunguka soko hilo.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania