#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro Kitengo cha Dawati la Jinsia na watoto, limeanzisha kampeni maalum ya kutokomeza vit…

#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro Kitengo cha Dawati la Jinsia na watoto, limeanzisha kampeni maalum ya kutokomeza vit…

#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro Kitengo cha Dawati la Jinsia na watoto, limeanzisha kampeni maalum ya kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia katika baadhi ya maeneo ya Wilaya za mkoa wa Kilimanjaro, ikiwemo Wilaya ya Rombo inayotajwa kuwa vinara kwa kuongezeka kwa matukio ya ukatili wa kijinsia kama vile ulawiti zinazosababishwa na baadhi ya wakazi hao kuwa na uelewa mdogo.

Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto mkoani Kilimanjaro, SP Asia Matauka, wakati akizungumza na mama na watoto katika maeneo hayo.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *