#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limewakamata na kuwashikilia watu kumi na watano kwa tuhuma za wizi wa betri na sola pan…

#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limewakamata na kuwashikilia watu kumi na watano kwa tuhuma za wizi wa betri na sola pan…

#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limewakamata na kuwashikilia watu kumi na watano kwa tuhuma za wizi wa betri na sola paneli za taa ishirini na saba za Barabara Kuu ya Tabora kwenda mkoa wa Katavi kupitia Wilaya ya Sikonge na kupelekea maeneo yaliyotokea wizi huo kuwa na giza nene nyakati za usiku hali inayohatarisha usalama wa abiria wanaoshushwa njiani nyakati hizo, huku Serikali ikiendelea kupata hasara ya kufanya marekebisho ya miundombinu hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *