#HABARI: Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linachunguza vifo vya watu wawili mume na mke ambao wamejulikana kwa majina …

#HABARI: Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linachunguza vifo vya watu wawili mume na mke ambao wamejulikana kwa majina …

#HABARI: Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linachunguza vifo vya watu wawili mume na mke ambao wamejulikana kwa majina ya Antoni Hilary Ngabori @ally ngabori, miaka 46 na Anna Amir Juma miaka 39 wote wakazi wa Bunyokwa wilaya ya Ilala.

Tukio hili linadaiwa kutokea usiku wa kuamkia tarehe 12, Juni 2025 kwenye nyumba ya familia yao. Miili hii miwili imekutwa ndani ya chumba chao cha kulala huku ikiwa na majeraha.

Uchunguzi wa tukio hili unaendelea kujua chanzo cha vifo hivyo vya wanafamilia.

#Follow @radioonetanzania
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *