#HABARI: Je, kanuni za Ligi Kuu zinasemaje kama mwenyeji wa mchezo (Yanga) kama mshirika mkuu uandaaji wa mchezo hatoshiriki katika utekelezaji wowote wa kanuni za kuandaa mchezo.
Je, uhalali wa mchezo utakuwepo? @hoseamchopa kupitia kambi ya michezo anazungumza na Mussa Kisoky, Mwenyekiti wa Sputanza ambaye ameonesha, kanuni zinaweza kuwabeba Yanga kupinga kukatwa alama.
#Follow @radioonetanzania
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.